Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na
Maendeleo-CHADEMA, leo kimetangaza kumvua uwanachama Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, Zitto Kabwe, baada ya Mahakama Kuu ya nchini humo Kanda ya
Dar es Salaam, kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo kuzuia
asijadiliwe.
No comments:
Post a Comment