Ajali imetokea changalawe Mafinga basi la Majinja lilikuwa
linatokea Mbeya kwenda Dar limeangukiwa na kontena muda huu na watu
wengi wanakadiriwa kufariki na hali ni mbaya sana
Watu wapatao
50 wanahofiwa kufa papo hapo baada ya basi hilo la Majinja Express kugongana na lori na kuangukiwa na kontena
No comments:
Post a Comment